Khaligraph Jones – Bongo Favour

Bongo Favour by Khaligraph Jones

Khaligraph Jones – Bongo Favour

Khaligraph Jones has released a new song titled Bongo Favour.

If you enjoy good music, be sure to add this fantastic song to your playlist.

You can listen and share your thoughts in the comment section below.

Download Latest Khaligraph Jones Songs / Music Videos & Albums/EP’s here On Fstrends.

What do you think about this song?

We want to hear from you all.

Drop your comments

Bongo Favour Lyrics by Khaligraph Jones

Big Shoutout to Vinc
On the beat btw
Ole, ole, ole ole..

Yeah nafanya TZ mbogi ipanic
Wakiona OG amejam zogo
Big rappers na mbona mnaplans ndogo?
Na sitafuti kiki, buda Omollo brand global
Somebody had to tell this guys that wanaburn photo

Kusema ukweli Bongo rap imenilea
But mnalegea
Na ndo kwa maana nawadare
Na sijakosea
But some of your people need a prayer
Bongo rap ain’t been the same
Ever since mmpoteze Ngwair

And heavy weights hamtoi ngoma ka kitambo
Oh now you know some of you said that Roma alinihumble
Na sitabishana coz padre alinifungulia mlango
Then he disappeared siku hizi hatujui zake pango

Young Killer, ameingiza missing evеr since afunge ndoa
Kuna time niliamini Bongo hiphop angеiokoa
Sina ubaya brother, na sikatai unafanya poa
But mi si shabiki ya hizo ngoma mpya unatoa

Taking over TZ ain’t nothing easier
Wakazi anafaa apewe kazi Wasafi media
Brother ni blogger, kubonga tu kwa mtandao
Marekani hawakutaki na TZ wamekudharau

Hiphop ya TZ sai ni kama kuseti bubu choir
Mmekimya wote mnafaa mng’otwe na Dudu Baya
Mnashinda Insta mkipiga picha na luku mbaya
Dream inaburn Nairobi ju najua huku Ulaya

Nakujia kura juu hapa ni raw schemes
Chali mkikunja sura, you rappers are not memes
Mnapiga rumours mashtaka with lost dreams
Sai labda mniletee nura haraka au Joslin

Nimekuwa kwa simu na Hascana tangu ngware
Kaniomba msamaha nisikujibu but nakuchallenge
Rosa Ree you are my girl but usidhani mi nitakusare
Talent mnayo but ndo msikike mtafute Babu Tale
Coz you ain’t have a hit since utokwe na Navy Kenzo
Kakupa verse bure na ni sababu we ni mrembo
But as far as rap goes hauwezi kuwa solo writer
Unaeza saidiwa kuandika na my nigga Cholo Brighter

Na nimewafanya favour kuwapatia platform
Coz Billnass of late has been doing the worse songs
Rudi rap bro, nishakutuma booth
Gnako siku hizi anadunga pamba za Juma Jux

Safari ni mbio, na ni hatari au sio
Omollo akifika nduru kila mahali kilio
We jihadhari mwenzio usipate ajali sindio
Hata mbogi ya Mwanza inajua habari ndio hio

Nikki my G, mbona ma subliminal diss
Toka mwanzo nimekuwa shabiki wa your lyrical gift
Pay homage kila wakati but kwanini uko pissed
I think I’ll call him after this song
But siko sure ka atapick

Your skill level is unmatched but punguza kiburi
You will a big star ukijua kuzungumza vizuri
Na wewe Nay kuja gym nikufunze kuunda misuli
Bongo hiphop nishakatinga tumefunga kufuli
Lunya my brother usikubali hisia ju inatrend
We Wizzy na Conboi ndo generation nadefend
Kuna rapper anaitwa Mex
And I know you guys are not friends
But if you did a song together
Mehn that shit is gonna blend

Yoh guys are comfortable, rappers too happy
Mi nina hasira sitaki rafiki na sitaki kuparty
Stamina you’re my G, but ambia watu ukweli
Ni wapi ulitoa ile idea ya kaka tuchati

Ulinifanya mbaya bro lakini sikuteta
Bet ukuwe ndani inaeza kuwa issue later
And is not, mi nataka tu unipatie props
Hapo kwa credit andika Omollo alitusupport

But haijalishi hata ka props sipati
Hii kitu inaitwa rap si ni toxic aki
Industry imejaa na rot si safi
Wish turudi siku Ngwair alidrop mikasi

RIP to Langa Godzilla the boss
And trust me, wananice kuona OG akicross mitaa
Street zinasema salute and they won’t desert me
TZ nauliza mlipeleka Gosby wapi?

Mlimlenga ju hampendi kimombo kwa mziki
Rap ya kingereza hamtaki ju si Bongo sahihi
Wasanii mnapea hype ni wa uongo na kiki
Natemea vipi mkinyima mtoto matiti?

Mkiniletea beef ni vizuri muonywe jinsi iliwi
Hakuna country Africa ile mi si shikiliwi
Au ni nchi sifiwi
Last time Bongo rap was popping tulikuwa tunaskiza Binti kiziwi

Madonga mtu kazi anafanya kazi kuwazidi
Nawaingiza maji na nikaa hio maji ni baridi
Mkipanda ngazi mnafikiria ardhi ni hadithi
Usichezee kipaji hii kitu huwa haitaki wasaliti

Hakuna L bila O, LL bila O
Mwingine anaeza bang ka Omollo
Shupavu, amekuja kuwapa mchoro
Wacha katambe, wamelala wape godoro

Diamond anafaa awasign ndo mrudi juu tena
Alafu awaweke nyote kwa remix ya Zuena
Atleast iwapatie ka psych tu vile nyi hutema
Ndo muweze kucatch up na vile si hudu Kenya

Nafit — hapo nayo siwezi blunder
And on my top five you can take any number
Heri ningeumbwa nyoka ningevua maganda
Forever mi singekufa, hiphop ingezidi tamba

Ole, ole, ole ole
Ole, oleee..
Ole, ole, ole ole
Ole, oleee..

Do you find Fstrends useful? 
Drop your comment!

You Might Also Like 👇

About DanBABA
I am Mr. Daniel....

2 Comments

 1. Anonymous
  1 week ago at 8:37 am

  Lyrics for bongo favour by kaligraph Jones

  • DanBABA
   1 week ago at 11:38 am

   Updated..

Leave a Reply

Please kindly drop your comment below👇.