- Artist: Kusah
- Title: Mungu Tu
Kusah Mungu Tu Mp3
Kusah, a very skilled singer/songwriter comes through with a brand new song named “Mungu Tu.”
“Mungu Tu” is a nice addition to every music lover’s playlist, so ensure you Download the song below.
Listen & download below:
Download Latest Kusah Songs / Music & Albums/EP’s here On Fstrends.
What do you think about this song?
We want to hear from you all.
Drop your comments
Download Latest Kusah Songs / Music Videos & Albums/EP’s here On Fstrends.
Mungu Tu Lyrics by Kusah
Aiii
Kusah tenah owooo
Binadamu siwawezi
Bora nibaki na Mwenyezi
Kuna jua kuna mwezi
Na kupangua hatuwezi
Asante baba kwa mkate na kikombe
Kilichobaki acha mimi nikuombe
Aah binadamu umetu umba na unyonge
Nikikosea naomba Mungu unione
Na siongopi mtu
Namuogopa Mungu tu
Na Sijali lolote
Namuogopa Mungu tu
Na siogopi kitu
Namuogopa Mungu tu
Na Sijali lolote
Namuogopa Mungu tu
(Hizi shida zangu zinanitosha
Staki matatizo) *2
Walishapiga na story
Niko hoi
Siponi tenah
Waka apa sitoboi, sitoboi, sitoboi tenah
Si walisema
Leo Mungu kawanyamazisha
Leave a Reply